2 Chronicles 9:21

21 aMfalme alikuwa na meli nyingi za biashara
Au: za Tarshishi (ona pia 1 Fal 10:22; 22:48; 2 Nya 20:36; Isa 2:16; 60:9).
baharini zilizoendeshwa na watu wa Hiramu. Kwa mara moja kila miaka mitatu zilirudi, zikiwa zimebeba dhahabu, fedha, pembe za ndovu na nyani wakubwa na wadogo.

Copyright information for SwhKC